


Nina furaha kubwa ya kukukaribisha kwenye tovuti yangu. Nimeanzisha tovuti hii kama njia mojawapo ya kuweza kubadilishana mawazo na wananchi wenzangu ili tuweze kujenga nchi yetu iwe na maendeleo katika sekta zote zinazoigusa jamii yetu. Mimi kama mwanamichezo, mwanasiasa, mfanyabiashara nina mengi ya kusema lakini pia ni vyema kukawa na njia ya kusikia upande wa pili wa sarafu ambao ni umma wa Tanzania .
- SEKTA YA ELIMU
Katika dunia ya sasa ukimpenda mtoto mpe elimu, kwani elimu ndiyo ufunguo wa maisha, na hata kama ukimpa hela au mali atashindwa kuziendeleza kwa sababu ya kukosa elimu.
- Access Blog Website..
-

-
Mohammed Enterprises Tanzania
7th Floor PPF Towers
Junction of Ohio Street / Garden Avenue -
Tel: +255 22 2122837 / 854 / 830
Fax: +255 22 2122843


